Diamond Platnumz Amwagia Sifa za Kumwaga Zari Hassan...Aongelea Kuhusu Mimba Ya Pili:;

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya:
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi
chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae
Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi
unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa😊😄😍😚😍…Lol yani Hapa najikuta
kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio😊😆 😘😍💞💕💝 Mi nampenda huyu dada’–
Diamond Platnumz
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!