
Baada ya mashabiki kumtuhumu Harmonize kumuiga Diamond – sasa imekuwa ni
zamu ya hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ kuambiwa anamuiga msanii wa Marekani
Ne-Yo ambaye tayari ameshafanya naye collabo miezi kadhaa iliyopita.
Kupitia mtandao wa Instagram, mmoja wa mashabiki anayetumia jina la
41732043sandra amecomment moja ya picha ya Diamond aliyoiweka kwenye
mtandao huo na kuandika, “You are good and talented in your own way n I
love you n ur songs but u should stop copying @neyo… Be ueself boy
@diamondplatnumz.”
“Not only copying him, and now in the flight heading to Los Angeles to
shoot my new Video Ft. Him….,” amejibu Diamond comment ya shabiki huyo
kwenye mtandao huo.
Baada ya kujibiwa comment yake, shabiki huyo aliandika tena,
“Unfortunately av no time to argue with ppl….@diamondplatnumz n the
rest.. Safe flight n am glad you read my comment n that’s my stand..
Haha be blessed.. I ain’t shaken boo.”
COMMENT AND SHARE....................................
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!