Mzee Majuto ni mchekeshaji wa longtime kwenye sanaa ya filamu Tanzania sasa leo August 10, 2016 amekubali kukaa na kueleza vitu ambavyo hakupendezwa navyo kupitia mkoa wake kuhusu majumba ya Cinema.
Staa huyo mkongwe wa filamu aliipata heshima
millardayo.com & Ayo TV kayaongea haya>>>>
Kilio
changu mimi kule kwetu kuna Magic Cinema ambayo sasa hivi imegeuzwa
kuwa Kanisa, halafu kuna Tanga Cinema wanauza Majani ya Chai yaani
karibia zote
‘Kumeingiliwa
hakuna kabisa majumba ya cinema, hii inatoka kwasababu watu wamezichoka
zile movie za nchi za nje kwahiyo huu ndio muda wa kurudisha filamu zetu
za nyumbani’– Mzee Majuto
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!