Mkuu wa mkoa wa Dsm PAUL MAKONDA amewataka wanamziki wa dansi kote
nchini, kupiga nyimbo zitakazohimiza wananchi kufanya kazi za uzalishaji
mali badala ya kuendelea kupiga nyimbo zinazohimiza mapenzi katika
ujamii
Wanamuziki hao wa dansi wametembelea ofisi ya mkuu wa mkoa wa
DSM,PAUL MAKONDA,kwa lengo la kutangaza nia yao ya kuchangia madawati
kupitia tamasha lao litakalofanyika katika viwanja vya LEANDERS jijini
DSM siku ya JUMAMOSI.
Mkuu wa Mkoa wa DSM PAUL MAKONDA anawataka wanamziki hao,kupinga
nyimbo za kuhimiza watu kufanya kazi kwa ili wajiletee maaendeleo.
Fedha zitakazopatikana katika tamasha hilo zitatumika kwa ajili ya kununulia madawati kwa ajili ya shule za msingi jijini DSM
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!