Watu wanne wanaougua virusi vya Zika mjini Florida huenda ndo visa vya
kwanza vya maambukizi nchini Marekani ,kwa mujibu wa maafisa wa afya
nchini humo. Kufikia sasa ,visa nje ya Marekani kusini na Visiwa vya
Caribbean ambapo virusi hivyo vimeenezwa na watu wanaotembelea eneo hilo
am kupitia kushiriki ngono na walioambukizwa. Visa vinne vya Florida
vinazua uwezekano kwamba mbu nchini Marekani wanaweza kubeba virusi
hivyo. Virusi vya Zika vinasababisha ugonjwa mkali miongoni mwa watu
wengi lakini virusi hivyo vinahusishwa na kasoro ya ubongo miongoni mwa
watoto wachanga.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!