Tayari nimezipata ngoma video tatu kutoka Tanzania zilizochezwa kwenye kituo cha kimataifa cha Trace Tv leo July 25 2016, kama hukupata time ya kuangalia Trace TV leo nimekuwekea list hapa ambapo watanzania watatu wamepata nafasi hii.
Vanessa Mdee na wimbo wa
“Never Ever” ndio kapata nafasi ya kuonekana kwenye
hits & Lyrics, ngoma ya
Ali Kiba ya
“Aje” kama
smash hit , “
Please don’t go away“ ngoma ya
Mayunga ft
Akon wa marekani kupingwa katika
Urban 10 pamoja na “
Kidogo” ya
Diamond Planumz aliyewashirikisha
Psquare wa Nigeria kuchezwa kama
Brand New Hit.

Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!