Na utafiti mpya umeonyesha kuwa wanaume nchini Uholanzi ndiyo warefu
zaidi duniani huku kwa upande wa wanawake ikiongoza nchi ya LATIVIA
Na utafiti mpya umeonyesha kuwa wanaume nchini uholanzi ndiyo
warefu zaidi duniani huku kwa upande wa wanawake ikiongoza nchi ya
LATIVIA ilihali wanawake wafupi zaidi duniani wakitajwa
kupatikana nchini GUANTEMALA na wanaume wafupi wakitokea TIMOR
MASHARIKI.
Kwa mujibu wa utafiti huo kimo cha wastani kwa wanaume nchini
uholanzi ni futi sita kwa sasa sentimita 183 huku kwa wanawake
nchini LATIVIA ni futi tano (sentimita 170)
Aidha utafiti huo umeonyesha kuwa chembe chembe za jinni hubadilika
badilika lakini cha muhimu zaidi ni kuwepo kwa lishe bora usafi na
matibabu ya hali ya juu.
Utafiti huo ambao matokeo yake yamechapishwa kwenye
jarida la ELIFE, umefuatilia kimo cha watu na
mabadiliko yaliyotokea katika mataifa 187 tangu mwaka 1914.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!