Taifa la Sweden linazindua utafiti wa miaka mitatu kuhusu maisha ya ngono ya raia wake.
Habari zimechapishwa katika jarida moja zikisema kuwa raia wa taifa hilo wanashiriki ngono kwa kiasi kidogo.
Waziri
wa Afya Gabriel Wilkstrom amesema kuwa iwapo msongo wa mawazo ama
maswala mengine ndio tatizo la watu kushiriki ngono kwa kiasi kidogo
basi hilo pia ni swala la kisiasa.
Amesema kuwa huku jamii
ikihusishwa na ngono katika kila kitu kuanzia matangazo,mitandao ya
kijamii na katika maisha ya kila siku,swala hilo linakabiliwa na aibu na
kutokuwepo katika mjadala wa kisiasa .
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!