
Msanii wa filamu kutoka Bongo Movie
Jackline Wolper jioni ya July 23 2016 akiwa katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) mjini
Dodoma alitangaza rasmi kurudi
CCM,
Jackline Wolper alitangaza kurudi
CCM wakati wa mkutano huo ambao ulikuwa na kazi ya kumkabidhi uenyekiti wa chama Rais
Magufuli.
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha mapinduzi CCM akizungumza jambo na mwigizaji Jackline Wolper.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri
Jackline Wolper katika uchaguzi mkuu uliopita 2015, alikuwa akimuunga mkono mgombea urais wa
CHADEMA Edward Lowassa ambaye alikuwa anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi
(UKAWA) ila kwa sasa ameamua kurudi
CCM.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!