Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa
Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa
Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.
Sasa July 22,2016 ameongea na millardayo.com kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake na kusema…>>>>>’
Ni
kweli nimezipata taarifa za kufungiwa kwa wimbo wangu lakini nafikiri
haya ni mambo ya kisheria kwa sasa hivi mimi sina cha kuongea maana kwa
upande wangu sidhani kama kuna sababu za msingi za kufungiwa kwa wimbo
wangu’- Nay Mitego
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!