Ni July 23, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambae hivi karibuni atavunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.
Akizungumza na millardayo.com alisema…>>>>>’Napenda
kuwakaribisha mashabiki wangu wakae tayari kwa kuupokea wimbo wangu
mpya uitwao Kazi Kazi niliyomshirikisha Sholo Mwamba, maana ya Kazi Kazi
kuwaambia watu walikata tamaa kitu kinachoweza kuwasaidia maishani ni
kufanya kazi kwa bidii’– Professor Jay
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!