Klabu ya Lyon imekataa ombi la Euro milioni 35 kutoka Arsenal kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga mabao 21 katika mechi 34 msimu
uliopita na kandarasi yake katika klabu hiyo inakamilika 2019.
Katika
taarifa yake katika mtandao wa Twitter,Klabu hiyo ya Ufaransa ilisema
Lacazette hanunuliki na ni miongoni mwa viongozi wa timu hiyo ya kocha
Bruno Genesio.
Lyon ilikana ripoti ya gazeti moja kwamba ilikataa ombi la Euro milioni 48 kutoka kwa klabu hiyo ya Uingereza.
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!