
Kwa zaidi ya siku nne ni stori ambayo ime-trend kwenye magazeti, habari
za burudani kwenye Radio na hata kwenye mitandao mbalimbali.. ni ishu ya
Waigizaji wawili waliokua marafiki lakini sasa hawaelewani. Iliripotiwa na mitandao mbalimbali kwamba wawili hawa walipigana walipokutana kwenye kiwanja cha starehe Wema Sepetu alipatikana lakini akatoa maneno machache tu baada ya kuulizwa
ni kweli ugomvi wake na Kajala ulifikia mpaka kupigana na kurushiana chupa wakiwa kwenye kiwanja cha starehe usiku, Wema akajibu >>> ‘
Hapana bwana, hakuna kitu kama hicho, hamna kitu kama hicho… mimi sio drama Queen, siko kwenye level hiyo‘
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!