
Wasanii wa muziiki wa
HipHop Marekani,
50 Cent na
Rick Ross
wanaziandika headlines baada ya wawili hao kufufua beef ya mwaka 2009
kati yao kwenye social media… ugomvi ulianza siku ya ijumaa baada ya
50 Cent kupost picha kwenye
Instagram T-shirt ya kumkejeli
Rick Ross na maneno yaliyosema
” Lmao ???? sina cha kufanya kwa hiyo nimeamua kuuza hizi Tshirt kwa $2.95″. 
Baada ya dakika kadhaa 50 alifuta post hiyo lakini
Rick Ross alikuwa ameshakutana nayo,
Rozay akaamua kumjibu 50 kupitia page yake ya
Twitter, akaandika tweet ya kumshambulia
50 Cent iliyosema;
“Forced into #BANKRUPTCY now the Donkey @50cent WORKING 4 #MMG Merch co. selling T’s for 2.95 on the #BLACKMARKET haaa!” 
Majibizano yao kupita
Instagram na
Twitter hayakuishia hapo,
50 Cent alirudi tena kwenye
Instagram na kuendelea kumshambulia Boss wa
Maybach Music Group,
Rick Ross kwa kupost picha ya kitambo sana ya
Rozay kipindi hicho akiwa Askari Magereza na kumtania kuhusu engagement yake kwa mchumba wake
Lisa Galore mwenye miaka 22… kwenye post hiyo 50 aliandika;
>>>” Ok hii movie ni kali
???? askari magereza anayerap kama mvuta bangi mpaka anajiamini kuwa ni
hivyo, kisha anajishaua sana alafu mauzo yake kimuziki sio kitu kikubwa
na badaae anaamua kumchumbia stripper wa miaka 22 ambaye kwa asilimia
kubwa crew yake nzima imeshampitia…LMAO
???? subiri kwanza, ningependa kununua hakimiliki juu ya hii movie”. <<< @50cent.
50 Cent hakuishia hapo akaamua apost tena picha nyingine ya
Ricky Rozay, lakini hii ililenga ile beef kati ya msanii wake
Meek Mill na msanii kutoka
Cash Money Records, Drake… huku caption yake ikisema;
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!
Comments
Post a Comment
Welcome.......
What are you thinking of....!!